Nimesoma mahali na kupata hii info kwamba TANZICT(BUNI HUB as a division) ikiwa chini ya Wizara ya sayansi na Teknolojia wakishirikiana na serikali ya finland wana mpango wa kutumia taka zitokanazo na vifa vya umeme kutengenez printers za 3D?
vipi wakubwa ikoje hii na mpango umefikia wapi??