Electronic sim

Electronic sim

Hamna la ziada.. hamna jipya.. neno la kizungu e sim lisikutishe.
Tunatumia e sim sababu tunanunua simu za laini 1 while tunamiliki laini 2/3

Nenda mtandao wa simu husika wanakuwekea…
Na inaitwa Embedded sim..
 
Una iPhone hafu una laini mbili. Nunua iTel
 
Back
Top Bottom