Wakuu nahitaji ELECTRONIC DOOR LOCKS zenye kufungua kwa kkutumia cards, pia ziwe na uwezo wa kuhifadhi data za kila anayeitumia, zisiwe za bei ghaali tafadhali, maana kuna watu nimewasiliana nao wananiambia dola 680!!
Natanguliza shukrani!

Locks 18 kaka! Asanteni wakuu nimeshapata, tunajikongoja taratibu jamani mambio yakienda sawa tena kuna milango 15 imebaki navutia kasi kwanza, kwa hiyo wale ambao tumeongea PM na hatujabahatika kufanya kazi next time, hopefully!