CHADEMA - Ni wazi pasipo kuacha shaka lolote kuwa media za hapa nchini hazitawapa ushirikiano wowote katika kampeni zenu. Hakuna Cha TV, redio Wala gazeti lolote litakalotangaza chochote kuhusu mgombea wenu Tundu Antipas Lisu. Nchi hi Ni kubwa sana kiasi kwamba siku 60 kufika kila mahala itakuwa ngumu. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi kukosa fursa ya kuona na kusikia hoja za mgombea wa urais pamoja na sera za ilani ya chama chenu.
Nawashauri mfyatue copy nyingi sana za mikutano ya mgobea katika flash au memory cards na kuzigawa au kuuza kwa being ya hasara ili zizipe mapengo ambayo yataachwa na mgombea kutokufika pembezoni au tuseme ambako hatafika. Lakini pia kuacha rejea ya hoja ambazo najua baada ya yeye kuondoka watakuja wapotoshaji wa kuharibu ujumbe ulioachwa. Fanya hivi kwa audio na video. Sikuhizi Kuna visimu na viredio vya kichina vinaweza kusoma cards naflash.
Kuelekea kuhesabu kura tengeneza vituo sehemu inaitwa No man's Land - sehemu za mpakani ambapo si Tanzania Wala nchi jirani. Weka kituo Cha kujumlishia kura kuepuka kuvamiwa na wasiojulikana wasiotaka mtu yeyote ajue hesabu ya kura za urais zinavyokwenda. Kusanya data zenu kwa utulivu.
Ohooooooo! Kumbe nawaza kwa sauti!! Halafu eti naandika! Jamani?