L ligimilo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 75 Jun 6, 2015 #1 Wakuu kwa mwenye uelewa wa masuala ya umeme, naomba kujuzwa kwa namna gani ninaweza kuzalisha umeme kwa matumizi ya kuwasha walau televisheni ya inchi 14 na taa kama kumi hivi. Angalizo umeme huu utokane na aidha nishati ya jua au betrii.
Wakuu kwa mwenye uelewa wa masuala ya umeme, naomba kujuzwa kwa namna gani ninaweza kuzalisha umeme kwa matumizi ya kuwasha walau televisheni ya inchi 14 na taa kama kumi hivi. Angalizo umeme huu utokane na aidha nishati ya jua au betrii.
Technian Tanga JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 411 Reaction score 200 Jun 7, 2015 #2 Nunua solar Panel funga utapata umeme