Ungesema unafanya comparison kwa vigezo gani? e.g Ajira,uzuri wa fani or what ?? mimi nimesoma Electronics and communication, but Electrical ni nzuri kwssb ajira zake Tanzania kwss nyingi tena nzuri kuliko Telecom lkn pia kumbuka uzuri wakupenda kitu/ fani inategemeana na utashi wako tangu awali mfano mimi nilipenda nije niwe rubani japokuwa sikupata hiyo nafasi,masters yangu nataka nisome Aviation Electronics