Electrical engineering au Mechanical engineering

jombi95

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,403
Reaction score
2,189
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
 
sawaa mkuuu... ipiii sasa katii ya hizo niiwke first priority..
 
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
Dah! Ongera sana ila izo kozi hazina future kabisa! Veta ni wazima kwenye kazi zaidi ya wanaotoka DIT au UDSM
 
Acha kumpotosha mwenzio kwani kozi zote ni nzuri so yy tuu aamue anafikir ni ipi anaipenda
 
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
Acha nikushauri kuhusu chuo kwanza, hizo zote ziko UDSM!! i'd recommend coet!
 
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
Kozi zote ni nzuri na zina ajira za uhakika, we 2 ndo uchague unacho kipenda zaidi, na unataka kufanya kazi wap, mana zote unaweza kufanya kazi maeneo kama viwandani, jeshini and etc...
 
Dah! Ongera sana ila izo kozi hazina future kabisa! Veta ni wazima kwenye kazi zaidi ya wanaotoka DIT au UDSM
kwa hiyoo mkuu unanshri na Mimi niende veta au...
 
MECHANICAL NI NZURI KWA SOKO LKN UGUMU WAKE UJIPANGE.UMEME KTK SOKO WATAALAMU NI WENGI SOKO HALIELEWEKI.MECHANICAL DIT NA UMEME ARUSHA TECH.KAMA VP ONGEZA LABARATORY ENGINEER
 
Back
Top Bottom