Electric Viagra

Uwiiiiiiii mbavu zangu mieeee hahahaaaaaaaaaaa
 
inauzwa wp? manake kuna watu humu jinsi walivo topaz watakuwa wanaihitaji sana[洗澡][洗澡]
 
masuala ya chaji naona yameshakuwa janga!!! dunia tu ifanye ku-declare kuwa ni international disaster tu. Yaani siku hizi vibao mitaani ni mkuyati kwa asilimia kubwa sana. Imetokea nini wakuuu?
 
Tusicheke kwa hali inavyozidi kuwa mbaya zitakuja hizo tena very soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…