EL NINO //SAFINA YA NUHU UTURUKI

Machingafx

Senior Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
108
Reaction score
133
Wana jamii forums....
Hii itakua ina maana gani?? Ivi juzi juzi tumeona kuna safina ya nuhu imeonekana uko nchini uturuki. Na serekali ya nchi hiyo imethibitisha kwamba ni kweli ni safina ya nuhu kutokana na vipimo vya wana sayansi vilivyofanyika. Na inasemekana. Wanaichimbua. Kwasababuipo chini ya mchanga imekaa hapo zaidi ya miaka 5000 mpaka sasa..

Na nakia pia kuna ukio wa EL NINO ambayo inataka kunyesha ingawa naona mpaka sasa bado hamna iyo mvua na selikali ya bongo ilitangaza itaanza mwezi wa 9 na ushapita. Je hii mvua ipo kweli??
Na je kugundulika kwa safina ya nuhu. Kunaweza kukawa na uhusiano wowote na EL NINO??
MAONI HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ TUNAJADILIπŸ™πŸ™
 
Hakuna safina yoyote iliyoonekana, hakuna serikali iliyothibitisha chochote kuhusu hilo. Zaidi hakujawahi kuwa na safina ya Nuhu kabisa wala gharika ya dunia nzima, hizo ni myths tu za Wayahudi zilizokopwa kutoka Gilgamesh flood myths za Mesopotamia.
 

Hii sasa ni hatari... na vipi kuhusu maandoko ya biblia??
 
Ko we dogo umejoin JF juzi tu na ukaona utuletee utafiti uliofanyika kijiweni kwenu na serikali ya Uturuki ya nyumbani kwenu kwamba mmegundua safina sio?

Ukaona haitoshi unataka kusema hiyo safina ndo inataka irudi iwabebe kisa el nino inayokuja?

Daah, nachoka Mie nachoka
 
Mchungaji aposto Psalm_23 mmepata Kijana anaetaka kubobea kwenye usabato Ila je haya ndo mambo mnayopaswa kumfunza kweli kwenye ulimwengu wa sasa?
 

Inawezekana....

Hii safina ya nuhu ikaja kutubeba nasisi kwenye hii EL nino..πŸ« πŸ« πŸ« πŸ˜„πŸ˜„
 
Inawezekana....

Hii safina ya nuhu ikaja kutubeba nasisi kwenye hii EL nino..πŸ« πŸ« πŸ« πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜…πŸ˜… unachekesha sana kama wewe sio ndugu yangu.

Wewe unaonaje kwani?
 
Mpaka ufikie level ya kuwa platnum member tutakuwa tumedanganywa sana humu.
 
Mchungaji aposto Psalm_23 mmepata Kijana anaetaka kubobea kwenye usabato Ila je haya ndo mambo mnayopaswa kumfunza kweli kwenye ulimwengu wa sasa?
Paulo, anasema watu kama hawa ni kuwakaribisha wala tusiwahukumu mawazo yao.... mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…