Tarehe 28/01/2015? hayaBaada ya furaha ya kufuzu raundi nyingine kwa Yanga, leo tuwe pamoja kwa wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC. Tukumbuke mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, Azam ilishinda goli mbili bila.
===========
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mpira kati ya El Merrikh na Azam FC
16' Goooooool, El Merreikh wanafunga goli la kwanza
mwenye kujua kinachoendelea sudan tupeni updates
Kuna sehem nilipita nikakuta wale watu wa vijiweni wanabishana kuwa hiyo mechi haitaonyeeshwa kituo chochote... Ni siri hata watu wamekatazwa kuingia na camera hakuna waandishi wa habari.... yaani alikua anawadanganya wenzake live na wenzake wakawa wameamini