E EveJoe Member Joined Dec 2, 2022 Posts 26 Reaction score 53 Mar 21, 2023 #1 Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid. Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje?
Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid. Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje?
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,627 Reaction score 16,408 Mar 21, 2023 #2 Duniani timu nyingi zinaiogopa madrid ila madrid wanaiogopa barcelona na amini kwamba madrid atapigwa tena.
Duniani timu nyingi zinaiogopa madrid ila madrid wanaiogopa barcelona na amini kwamba madrid atapigwa tena.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,256 Reaction score 114,470 Mar 21, 2023 #3 Madrid ni katimu kadogo sana inapokutana na barcelona, mechi 4 mfululizo ndani ya mwaka madrid amekalishwa zote.
Madrid ni katimu kadogo sana inapokutana na barcelona, mechi 4 mfululizo ndani ya mwaka madrid amekalishwa zote.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,412 Reaction score 22,990 Mar 21, 2023 #4 Madrid sikashapigwa juzi na barca kunamechi ingine tena
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,500 Reaction score 14,963 Mar 21, 2023 #5 kina kirefu said: Madrid sikashapigwa juzi na barca kunamechi ingine tena Click to expand... Copa del rey. Second leg 5/4.
kina kirefu said: Madrid sikashapigwa juzi na barca kunamechi ingine tena Click to expand... Copa del rey. Second leg 5/4.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,050 Reaction score 27,447 Mar 21, 2023 #6 Hiyo mechi tunakuja kulipa kisasi. Subirini
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,412 Reaction score 22,990 Mar 21, 2023 #7 Southern Highland said: Hiyo mechi tunakuja kulipa kisasi. Subirini Click to expand... Sahau Barca imesharudi ilikokua
Southern Highland said: Hiyo mechi tunakuja kulipa kisasi. Subirini Click to expand... Sahau Barca imesharudi ilikokua
A d o l f Member Joined Oct 16, 2018 Posts 47 Reaction score 189 Mar 22, 2023 #8 EveJoe said: Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid. Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje? Click to expand... Barca mkikaa vizuri, mnaweza beba Laliga
EveJoe said: Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid. Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje? Click to expand... Barca mkikaa vizuri, mnaweza beba Laliga