El Classico: Barcelona Vs Real Madrid

Mtamkumbuka Pep Guardiola Mwaka huu.
 
Huyo ----- ame Dive. Hakuna penati hapo
 
Manure United na nyie jiandaeni kwa dozi yenu kwenye CL.
 
Mabinti wa catalunya wanataka kupigana eti, Nessi kajinyea tu uwanjani leo
 
Morati ndo anapaswa kushirikiana na ronaldo. Benzema na Higuan wameshindwa
 
Mabinti wa catalunya wanataka kupigana eti, Nessi kajinyea tu uwanjani leo

Hahahahahaa leo jamani real wamenipa raha kabisa yani. CR7 yupo kwen form halinkadhalika wengine. FCB naona wanamaliza msimu vibaya

Man u mjiandae j4 hatumwi mtoto dukani
 
My week is blessed with plenty of happiness, Yanga, Bianconeri na Madrid kasoro nanii tu
 
Barcelona wanalipwa hapa hapa duniani,walibebwa sana kipindi cha gadiola, sasa kibao kimewageukia..kazi kumkimbilia refa.
 
Ingalikuwa mechi hii yamchangani refa saa hii anaramba ufizi kwa kung'olewa meno
 
Barcelona wanalipwa hapa hapa duniani,walibebwa sana kipindi cha gadiola, sasa kibao kimewageukia..kazi kumkimbilia refa.

ndugu bahasha za kaki hawapeleki siku hizi ndo shida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…