Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
aah! Wapi RMD lazima akalie kwa mziki wa MAN U
wametangulia Uingereza kuwamaliza Manyoo United
wametangulia Uingereza kuwamaliza Manyoo United
Madrid washaanza kunitia wasiwasi mmh ngoja nione
Day dreaming!aah! Wapi RMD lazima akalie kwa mziki wa MAN U
Day dreaming!
wametangulia Uingereza kuwamaliza Manyoo United
jembe letu msimu ujao Arsenal.
Hapana haijaoza ila bila msaada wa refa kiwango chao kama Lipuli FC ya Iringa
Ongeza na kitasa Ricardo Calvalho
Hawa Barca kweli wameisha yaani pamoja na RMA kuchezesha kikosi cha pili mpaka dakika ya 43 bado 1-1
Kweli, mkipata Villa mtatishaa, ila si unajua Jack mna muuza
vila aje aseno kwan kashuka bei nini..
Hivi Villa ni mkatalunya? Kama sio Arsenal watampata kwa ubua tu
huyu refa kama web vile kipindi cha kadi kimeanza..