El Classico: Barcelona Vs Real Madrid

El Classico: Barcelona Vs Real Madrid

Ngapingapi wakubwa mpaka sasa na ni dakika ya ngapi?
 
huyu refa ni noma kisha toka kwenye uweb sasa hivi anaukaribia uclattenburg
 
Hawa wakatalunya hata wakibahatisha hapa, kwa Rossoneri hawazingui, they are out of the Champions League for real
 
hii gemu ya leo kazi kweli kweli ukiunda faulo kadi inakuhusu..
 
This is the Declining of BaAssLona era.
 
Mkuu wao wanagame baada ya wk ila cc ni j4, so they can afford to fill in their strongest squad
ila pamoja na hayo, my prediction is Madrid 2 - 1 Barcelona

Halaaa
 
Back
Top Bottom