Eka 10 Ndqni ya Dsm

Eka 10 Ndqni ya Dsm

Adilinanduguze2

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
1,420
Reaction score
1,951
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule
Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa
Umbali =29km tokea ferry
Ukubwa = Takriban eka 10
Umeme = Nguzo 6 unafikia
Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem ya duka
Kuna kisima cha maji matamu yanapatikana
Banda lishafanyiwa wiring
 
Weka na picha basi ili kuvutia biashara yako, weka bei na pia ikibidi weka na mawasiliano yako! maana humu kuna wajumbe kamili na pia kuna wageni ambao hawana uwezo wa kukufuata pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom