kwani THE FINAL STAGE OF LOVE IS WHAT?!
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.
Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
Wewewachekesha sana na huna shukrani! wenzio wanatafuta walau wadakika tatu wanakosa!!!!!kama zipo tafuta namna yakuzifaidi wengi wa vijana wa leo hawa hata za dk 3
kwani inakua hivyo kwenye bao la kwanza au yote?
The Finest, mimi napingana na wewe hapa...Hebu jaribu kugonga konyagi za kutosha halafu uingie kwenye game uone!!Mara nyingi inasababishwa na haya ila wengi hawajui na ukiweza kuyafanyia kazi then you'll be good
1.Stress
2.Fear
3.Anxiety
4.Depressed Mind
5.Unhealthy Diet
6.Smoking
7.Alcohol Consumption
8.Differences with your partner
9.Lack of muscle strength
10.Lack of confidence