Ndugu wana JF mimi nina tatizo la kuwai kuijaculate when am getting sex through uwa najitahidi kuicontrol hii hali ila nikipress dk moja mbili tayari through mi ni mgeni kidigo kwenye haya mambo huyu ndio mwanamke wangu wa kwanza kusex naye nina uwezo wa kurudia hata mara tano ila huwa namwaga fasta.JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NIFANYAJE?
James John mhitimu wa chuo cha uhasibu Arusha anaandika "kuwai" kazi bado ipo.
Umejuaje kama ni mhitimu wa chuo cha uhasibu Arusha?
Piga puli kabla hujadinya...
Bwana James!
Nitaomba nitumie english kidogo kwani ndo raisi,Premature ejaculation is most prevalent among young men,men with new patner,and college-educated men than among men with less education;it is thought to be related to concern for partner satisfaction.
What are the the possible causes?
1: Anxiety regarding the sex act(Je ni dhambi kufanya ngono? au unabongonyoa mzigo wa mtu?Unafanyia uswahilini watu wakipita) and with unconscious fears about the vigina.
2: It may also be the result of conditioning if the man's early sexual experiences occured in the situation in wich discovery would have been embarrassing.
3. A Stressful marriage exacerbates the disorder.
4. Vurnerable sympathetic stimulation(Ejaculation is controlled by this).
5.Shorter bulbocavenosus reflex nerve latency time.
Matibabu
1 :Kama kuna moja ya sababu napo juu # 1 kwenye mabano,ilekebishe,kila kitu kitakuwa mswano.
2.Kama # 1 haiusiki then unaweza tumia dawa,kama uko Tz/Dsm then nenda pharmacy mwone pharmacisty,dawa ni SSRI na Antideprsants,Angalizo: Hizi sio dawa za ili tatizo ila side effect ndio inatumika kusaidia ili tatizo.
3.Kama upo nje ya Tz kamuone Psychologist,upate sexy therapy.
Kibwagizo:
Ila kama unakamua bao tano,tatizo liko wapi,kamua tu baba,najua la tano litakuwa gumu sana kutoka.
Naaam!Kijana mdogo kama wewe usitumie dawa yoyote mshkaji. Tatizo lako ni wasiwasi tu. Kupata bao la kwanza within 2 minutes ni kawaida usikonde. bao linalofuata should take longer.
Dogo unapenda sana kupiga mgalala eeehhh
Piga puli kabla hujadinya...
..unaweza tumia dawa,kama uko Tz/Dsm then nenda pharmacy mwone pharmacisty,dawa ni SSRI na Antideprsants,Angalizo: Hizi sio dawa za ili tatizo ila side effect ndio inatumika kusaidia ili tatizo.
Tafuta bakora.....akutandike mpaka alama za mijeledi zikutoke makalioni, ukisikia kulia usijizuie, we lia tu, baada ya hapo anza kula ngoma, hiyo ndio mwisho wa matatizo...
Nini cha kufanya; avoid bao la kwanza kwa puchu, . Na pia wakati wa mambo na demu wako, unaweza ukawa unabana kila linapotaka kuja (kwa mfano kwa kuweka mawazo kwingine, au kupunguza speed ya ku-pump etc), kama demu wako muelewa ongea naye kuhusu hilo tatizo halafu anakuwa anakusaidia ukifanya hiyo training. Kama haeleweki, uwe unaweza pia kum-fake, usionyeshe ukipata bao, unakauka unaendelea ku-pump, ngumu hiyo oohh!
kiungo maruidadi ni ulimi.....jua kucheza na ulimi kule ukeni kwa mwanamke wako imean kuzamia....
Inajulikana kuwa wnawake wanachelewa sana kufika kwenye climax so inabidi uwe mjanja ucheze pele dakika za majeruhi basi kama man u ya 99 una Dwight Yorke moja wakati yeye alisha ingia nyavuni kama mara 2...
.......jua wapi gal wako ukimshika wadudu wanapanda kwa sana.....cheza napo kwa sana....usiwe na haraka ya kuanza game hakikisha unamchezesha gwaride la utambulisho kama lisaa lizima. .
Kunywa Konyagi iliyochanganywa na Red bull
karogwa....si bure(just for laughs)
karogwa....si bure(just for laughs)
We Sabri Bachan na yule shoga maarudu pale Unguja mwenye jina hilo mna undugu?
Kheeeeee heeeeee heeeeee....Eeeh!Sadakta-Damu-Damu
Kheeeeee heeeeee heeeeee....Eeeh!
Wewe mwanafyale, Sabri Bachan unamjulia wapi?