Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Tafuta bakora, kabla ya kuanza hiyo shughuli mwache huyo binti akuchape kisawa sawa, yaani viboko haswa vya makalioni, hiyo ndio dawa ya kwetu pwani, tena asikuonee huruma, akutandike mpaka alama za mijeledi zikutoke makalioni, ukisikia kulia usijizuie, we lia tu, baada ya hapo anza kula ngoma, hiyo ndio mwisho wa matatizo...
 
Ndugu wana JF mimi nina tatizo la kuwai kuijaculate when am getting sex through uwa najitahidi kuicontrol hii hali ila nikipress dk moja mbili tayari through mi ni mgeni kidigo kwenye haya mambo huyu ndio mwanamke wangu wa kwanza kusex naye nina uwezo wa kurudia hata mara tano ila huwa namwaga fasta.JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NIFANYAJE?

Babu Swahili akiyaona haya shauri yako! Sura ya Kwanza anaweza pia kuiingiza kwenye 'kula breki'...lol:rolleyes:. Jaribu kutembelea jukwaa la lugha mara kwa mara.
 
James John mhitimu wa chuo cha uhasibu Arusha anaandika "kuwai" kazi bado ipo.
 
Bwana James!
Nitaomba nitumie english kidogo kwani ndo raisi,Premature ejaculation is most prevalent among young men,men with new patner,and college-educated men than among men with less education;it is thought to be related to concern for partner satisfaction.
What are the the possible causes?
1: Anxiety regarding the sex act(Je ni dhambi kufanya ngono? au unabongonyoa mzigo wa mtu?Unafanyia uswahilini watu wakipita) and with unconscious fears about the vigina.
2: It may also be the result of conditioning if the man's early sexual experiences occured in the situation in wich discovery would have been embarrassing.
3. A Stressful marriage exacerbates the disorder.
4. Vurnerable sympathetic stimulation(Ejaculation is controlled by this).
5.Shorter bulbocavenosus reflex nerve latency time.

Matibabu
1 :Kama kuna moja ya sababu napo juu # 1 kwenye mabano,ilekebishe,kila kitu kitakuwa mswano.
2.Kama # 1 haiusiki then unaweza tumia dawa,kama uko Tz/Dsm then nenda pharmacy mwone pharmacisty,dawa ni SSRI na Antideprsants,Angalizo: Hizi sio dawa za ili tatizo ila side effect ndio inatumika kusaidia ili tatizo.
3.Kama upo nje ya Tz kamuone Psychologist,upate sexy therapy.

Kibwagizo:
Ila kama unakamua bao tano,tatizo liko wapi,kamua tu baba,najua la tano litakuwa gumu sana kutoka.

Kijana mdogo kama wewe usitumie dawa yoyote mshkaji. Tatizo lako ni wasiwasi tu. Kupata bao la kwanza within 2 minutes ni kawaida usikonde. bao linalofuata should take longer.
Nini cha kufanya; avoid bao la kwanza kwa puchu, kwa hiyo ukianza na demu wako inakuwa la pili ambalo possibly itakuwa muda mrefu kidogo na subsequent mabao yatakuwa yanachukua muda zaidi. Kama ni tofauti na hapo tuambie. Pia ukipiga puchu jaribu kujizoeza kulibana bao, I mean, likitaka kutoka unaacha kwanza, then unaendelea- angalia usifike kwenye point of no return. Ukifanya practice hiyo muda mrefu unaweza ku-control. Na pia wakati wa mambo na demu wako, unaweza ukawa unabana kila linapotaka kuja (kwa mfano kwa kuweka mawazo kwingine, au kupunguza speed ya ku-pump etc), kama demu wako muelewa ongea naye kuhusu hilo tatizo halafu anakuwa anakusaidia ukifanya hiyo training. Kama haeleweki, uwe unaweza pia kum-fake, usionyeshe ukipata bao, unakauka unaendelea ku-pump, ngumu hiyo oohh!
Kuna njia nyingine hatari nitakusimulia siku nyingine.
NB: Utumie mafuta kwenye puchu, sabuni itakuumiza, unaweza kupata hata urethral stricture baadaye- itakuwa haisimami tena na huwezi kukojoa.
 
Kijana mdogo kama wewe usitumie dawa yoyote mshkaji. Tatizo lako ni wasiwasi tu. Kupata bao la kwanza within 2 minutes ni kawaida usikonde. bao linalofuata should take longer.
Naaam!
Nitakupa uzoefu wangu
Hilo sio tatizo pamoja linakera ukiwa na hamu ya kupiga nje ndani 100 ndio bao la wkanza lije ukapiga 15 basi inakera.
Kukushauri jaribu kucheza na viungo vyoote ulicyopewa na mwenyezi Mungu.....mapenzi sio nje ndani kijana......

kiungo maruidadi ni ulimi.....jua kucheza na ulimi kule ukeni kwa mwanamke wako imean kuzamia....
Inajulikana kuwa wnawake wanachelewa sana kufika kwenye climax so inabidi uwe mjanja ucheze pele dakika za majeruhi basi kama man u ya 99 una Dwight Yorke moja wakati yeye alisha ingia nyavuni kama mara 2...

.......jua wapi gal wako ukimshika wadudu wanapanda kwa sana.....cheza napo kwa sana....usiwe na haraka ya kuanza game hakikisha unamchezesha gwaride la utambulisho kama lisaa lizima najua hapo atakuwa amesha ingia nyavuni mara 1 hata 2 kama ukizamia vema...

believe me ....bao nyingi sio ishu kamanda unaweza ku score bao moja kwa saa 2 ukimuanzishia ligwaride la utambulisho(kumkagua sehemu zake za mwili)

ukiwa na more qns uliza.....
 
Piga puli kabla hujadinya...

..unaweza tumia dawa,kama uko Tz/Dsm then nenda pharmacy mwone pharmacisty,dawa ni SSRI na Antideprsants,Angalizo: Hizi sio dawa za ili tatizo ila side effect ndio inatumika kusaidia ili tatizo.

Tafuta bakora.....akutandike mpaka alama za mijeledi zikutoke makalioni, ukisikia kulia usijizuie, we lia tu, baada ya hapo anza kula ngoma, hiyo ndio mwisho wa matatizo...

Nini cha kufanya; avoid bao la kwanza kwa puchu, . Na pia wakati wa mambo na demu wako, unaweza ukawa unabana kila linapotaka kuja (kwa mfano kwa kuweka mawazo kwingine, au kupunguza speed ya ku-pump etc), kama demu wako muelewa ongea naye kuhusu hilo tatizo halafu anakuwa anakusaidia ukifanya hiyo training. Kama haeleweki, uwe unaweza pia kum-fake, usionyeshe ukipata bao, unakauka unaendelea ku-pump, ngumu hiyo oohh!

kiungo maruidadi ni ulimi.....jua kucheza na ulimi kule ukeni kwa mwanamke wako imean kuzamia....
Inajulikana kuwa wnawake wanachelewa sana kufika kwenye climax so inabidi uwe mjanja ucheze pele dakika za majeruhi basi kama man u ya 99 una Dwight Yorke moja wakati yeye alisha ingia nyavuni kama mara 2...

.......jua wapi gal wako ukimshika wadudu wanapanda kwa sana.....cheza napo kwa sana....usiwe na haraka ya kuanza game hakikisha unamchezesha gwaride la utambulisho kama lisaa lizima. .

Kunywa Konyagi iliyochanganywa na Red bull

Ukiamua kuwa mtundu na kuchanganya zote hizi kwa pamoja yaweza kuwa mada kesi.:).
 
Tembelea hii link for the reasons thereto:
http://www.embarrassingproblems.co.uk/ejacsemen.htm
 
mzee shukuru wewe haitoki hivyo waweza kupiga gemu mpaka mwanamama
anatosheka. wako wengine wao wakigusa tu chwaaaa mchezo umekwisha.
 
mwambie mwenzi wako akiona dalili kwamba unakaribia kushusha mzigo; akufinye kisawasawa chwiiiiii! ule mshtuko mzigo wote utarudi ulikotoka hivyo kukupa nafasi kuendeleza libeneke.

Ishara za mtu kukaribia kushusha mzigo ni pamoja na kubadilika kwa upumuaji, wengine huanza kuguna guna, wengina kama walikuwa kimya hapata kauli na kuanza kusema maneno mafupi mafupi km "tamu", "inakuja" na wengine ndio hpatwa na kigugumizi kabsaaaa
 
Kuna vitu unaweza kununua vikakusaidia ila sijui kama uko bongo kama utavipata ila ulaya vipo so if ur in europe inbaidi uende kwenye adult store yeyote ukiwaelzea watakusiadia. Some of the things are D-lay Cream or spray, Stud delay, china brush na vrx. Try and u tell us the result. Ila china brush na stud delay ni kali sana ina desensatize kwa hiyo unapaka saa moja au nusu saa kabla ya mambo and then unaosha ili isimdesensetize mwenzako.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom