Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Baba Ubaya

Senior Member
Jun 24, 2008
127
19
Nini tatizo la hasa kwa wale wanahikumaliza wakati wa kufanya tendo la ndoa?

Kwa wale mnaofahamu tufahamisheni

==========
Baadhi ya majibu:


Hilo ni tatizo kama goli zote inakua dakika chache. ila goli la kwanza ni lazima uzimike mapema.


 
Jamani JF Doctors

Hili suala la Premature ejaculation na sectual dysfunction naona kama ni kitu ambacho kina wakumba watu wengi sana haswa wanaume kwasasa...!

Nimekua nikiangalia most of the threads huwa watu wanajaribu kuomba ushauri kuhusu suala hili, sasa basi ili kukata mzizi wa fitna, naomba Dactari mmoja ajitolee kutuendeshea hii mada na ikiwezekana atupe medical treatment ya matatizo haya ili kuonokana na frequent posting on the same subject...!
 
Hee inawezekana hili tatizo kila mtu analo harafu hakuna tiba...toka post imetumwa hakuna mjuzi mmoja aliye jibu hoja....

Ni tatizo kwa wanaume wengi...unasikia unaulizwa jana ulichoka sana mbona unaniacha njiani...(unamaliza mapema...)ka swali haka kanaumiza ila sasa utafanyaje?

Ndio maana wengi wanajaribu tumia konyagi..wengine wana fall kwenye janga Viagra...the worse one.

Please mwenye ideal about how to come late..pls.

Am out
 
Hivi inakuaje mwanamume unafanya tendo la ndoa, msisimko na kufikia kilele kama kawaida. Lakini mbegu wala maji maji yanayoambatana na mbegu hayatoki kabisa. Yaani hata tone moja halitoki, achilia mbali kuonyesha angalau dalili kwamba kuna chochote kilijaribu kutoka. Njia inaonekana kavu kabisa.
Naomba msaada. Umri wa mwanaume ni miaka 50.
 


tayari out of form! 50 years ejeculation ya nini? Tena iwapo unajisikia sawa sawa kwenye tendo.
 
Muone doctor akusaidie, Umri huo si sababu ya muhusika kushindwa kukojoa. Something is wrong somewhere.
 
Bubu, I mean at this age, what do you need ejaculation for? As long as you have all the pleasures, that is it.

Give me your reasons why do you think at that age a man does not need ejaculation?
 
Duh! kisima kimekauka! mkuu punyeto zilizidi nini? hahahahaha.
 

Nafikiri kamuone Daktari akupe ushauri,

1. huenda lishe yako duni, na spermatogenesis(uzalishaji wa mbegu za kiume) unakuwa affected.

2. vas deferens ( thin muscular tube which transports sperm from the
epididymis to the urethra) utakuwa ama umeziba au umekatika na kufanya
sperm zisitoke nje



Kwa undani zaidi kuhusu viuongo vyako vya uzazi bofya hapa chini http://kidshealth.org/misc/movie/bodybasics/male_repro.html
 
Give me your reasons why do you think at that age a man does not need ejaculation?

What is ejaculation anyway? It an act of release sperms by a man (of course a male). This action is meant for reproduction in most animals, except in humans and dolphins where it acts also as a pleasure mechanism during courtship or masterbation.

The fact that this man experiences pleasure during sex act there is no cause for concern in missing ejaculation. At that age would you need children?! Where have you all along been in your life? Life expectancy of Tanzanians is about 50 ( I am not sure with recent development) and there having a kid at that age will be an act of injustice. A kid will mis a 100% fatherly care (babu care) and will hardly reach form four before you are pronounce .... a late Mr.....
 

Hofstede: Be careful. If vas deferens is blocked, or whatever, in one way or another, where are the sperms then? Because they being produced and have to go out!
 
Hofstede: Be careful. If vas deferens is blocked, or whatever, in one way or another, where are the sperms then? Because they being produced and have to go out!

Mwanjelwa
Soma post yangu yote nimesema huyu bwana akamuone Doctor amshauri na mimi nikatoa two posibilities hapo juu. Sasa kama sperms zinakuwa produced na hakuna tatizo kwa nini zisitoke?, hapo ni kwamba huenda hazitengenezwi kabisa au njia ya kuzitoa ina matatizo.

Ni vipimo vya kitabibu tu ndivyo vinaweza eleza huyu bwana ana tatizo gani na si malumbano ya hapa JF. Hapa sisi ni kumshauri na kumpa possibilities ili aone uzito wa tatizo na kufanyia utafiti wa kisayansi (Kumuona Daktari) mapema kabla tatizo halijawa out of control.
 
Last edited:
The fact that this man experiences pleasure during sex act there is no cause for concern in missing ejaculation.

There must a big concern if this person had no previous problem of ejaculation and that is why he must see a doctor asap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…