Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Hiyo inaweza kuwa ya Suni kiongozi. Siye wengine tunaombea iwe jumatatu na jumanneAmen, kwahio Sheikh kitaifa kesho sikukuu ya Eid?
Mandela pale ni Sunni. ok wakimataifa ushatoka uarabuniKesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
wanaofata fatua ya Wakimataifa ushatokaIdd Mubarak tangulia sheikh sisi tutaswali Jumatatu inshaallah
تقبل الله من ومنكمKesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
HahahahahaSasa huyu mgerasi min -me na mwenzake Maghayo watafanyeje sasa walikuwa wamezoea kuzurula kwenye kila msikiti ili kula futari za bure
Duh nawaonea huruma sana pamoja na huyu Moisemusajiografii
Umemsahau FaizaFoxySasa huyu mgerasi min -me na mwenzake Maghayo watafanyeje sasa walikuwa wamezoea kuzurula kwenye kila msikiti ili kula futari za bure