Eid inakaribia, Mshahara Serikalini hakuna

Wabongo kwa kulalamika!
Yani ndo kwanza tarehe 23 imeingia lakini asubuhi asubuhi mtu ameshaanza kulalama hata nusu ya siku bado!!!

wewe unaishi kwa nguvu ya buku 7,mambo ya mshahara utayajulia wapi?
 
Serekali kweli imecharara JK mwezi mzima hajatoka hata kwenda saudi visiku hata 2 tuu.Kuna problem poleni wajiriwa wa serekalini tupo pamoja, Labda tarehe 35 huko baada ya sikukuu.
 
Kwahiyo eid el fitr ingekua tarehe 15 ungetaka upate mshahara tarehe 13???
Inaonekana siku kuu imekuchanganya kwakua mweupe mfukoni,
Kua mpole na ujifunze kuweka akiba.

Ndio kwani ajabu? mbona nchi za kiarabu ikifika karibu ns skukuu wafanyakazi wanapewa nusu mshahara hata km ni katikati ya mwezi na ikifika mwisho wa mwezi wanapewa mshahara wao kamili bila kukatwa.
 
Wabongo kwa kulalamika!
Yani ndo kwanza tarehe 23 imeingia lakini asubuhi asubuhi mtu ameshaanza kulalama hata nusu ya siku bado!!!

Tumia akili hata kidogo wewe,mtoa mada ameshasema hata payroll hazijatoka hazina wakati kwa kawaida hutoka kuanzia tarehe 15.
 
Umelipwa mshahara wa siku 30 na sasa ni siku 23 una matumizi mabaya....acha ufuska

Tarehe 23 Juni hadi 23 Julai ni siku ngapi ? Ndo tatizo la kukimbia hesabu tangia Chekechea, ungesubili hata ufike darasa la saba, shule ya upili ndo uendelee na KLF.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa,eti wanusuru wasijefanya biashara ya kuuza viungo vya binadamu...kweli kazi ipo na bidhaa zilivyopanda bei!
 
Tumia akili hata kidogo wewe,mtoa mada ameshasema hata payroll hazijatoka hazina wakati kwa kawaida hutoka kuanzia tarehe 15.
Isue ni payrol kutoka hazina au kwenye akaunti zenu kuwe na mishahara kabla tarehe 23 haijaisha?
 
Serekali kweli imecharara JK mwezi mzima hajatoka hata kwenda saudi visiku hata 2 tuu.Kuna problem poleni wajiriwa wa serekalini tupo pamoja, Labda tarehe 35 huko baada ya sikukuu.

Ziara za mikoani anakwenda bure? hesabu kenda ngapi tokea mwaka wa fedha uanze?
 
Isue ni payrol kutoka hazina au kwenye akaunti zenu kuwe na mishahara kabla tarehe 23 haijaisha?

Payroll kwanza ndo mshahara uingie kaka...kumbuka sasahiv kuna mabadiliko ya mishahara na hayo marekebisho kwenye system zao hawajafanya bado,system bado inasoma mishahara ya zamani... Upoo?!
 
mii HRO wangu kanambia alipita HAZINA, wale wahusika wa mishahara na office wamefunga!
 
Payroll kwanza ndo mshahara uingie kaka...kumbuka sasahiv kuna mabadiliko ya mishahara na hayo marekebisho kwenye system zao hawajafanya bado,system bado inasoma mishahara ya zamani... Upoo?!
Next time kwenye uchaguzi ujao mjitahidi mchague watu makini.
Mmewalemaza ndio maana wanawafanyia hivyo kwasababu wanajua mtawarudisha madarakani tuu.
 
Swali,mleta uzi upo hazina? kama hupo huko kaa kimya,by the way umeisemea tr.23 wakati hata yenyewe tu haijaisha.
 
Swali,mleta uzi upo hazina? kama hupo huko kaa kimya,by the way umeisemea tr.23 wakati hata yenyewe tu haijaisha,Acheni kuinanga serikali ya wezi kwa hili,kuwa na subira
 
ukipita maofisi ya serikali watu wanapiga mihayo tuu,njaa kali morali imeshuka saaana,wanasema RIP MGIMWA umeondoka na pesa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…