Huna majukumu ndo maana...Wewe ni mzinzi ndio mana mshahara haukai
Umelipwa mshahara wa siku 30 na sasa ni siku 23 una matumizi mabaya....acha ufuska
Umelipwa mshahara wa siku 30 na sasa ni siku 23 una matumizi mabaya....acha ufuska
usifikiri wote wanalelewa kama unavyo lelewa wewe. Umri wote huo hujui hata bei ya kufuli lol!Umelipwa mshahara wa siku 30 na sasa ni siku 23 una matumizi mabaya....acha ufuska
Pamoja na kuwa Bajeti ya Serikali ilipitishwa kwa mbwembwe hadi leo HAZINA haijaweza kutoa fedha za Matumizi ya Kawaida na wala za Maendeleo. Tunavyoandika hata Ankara za Mishahara hazijatoka na Mwezi Julai ndio unakwisha. Kawaida watumishi wa Serikali hupokea Mishahara tarehe 23 ya kila Mwezi. Watumishi wanaingia kwenye sikukuu ya EID bila senti. Mwenyezi Mungu wanusuru wasianze biashara ya viungo vya binadamu.
Wapi Papaaa Bingwa wa Uchumi Mwigulu Nchemba
Umelipwa mshahara wa siku 30 na sasa ni siku 23 una matumizi mabaya....acha ufuska
Wewe ni mzinzi ndio mana mshahara haukai
Wewe ni mzinzi ndio mana mshahara haukai