Wake zenu wanapitia mengiWadada wa JF mpo?
Kwa hiyo huyo mhalifu mwenzako ameshakunulia Pashmina au utasubiri tu mwakani?
Wifi yenu ataendelea tu kuvaa madera na vijora
Binafsi napata ukakasi kumnunulia hayo mashuka tena kwa 150k wakati kuna vijora
wenzako washaanza kuhemea vitu tayali,,, mambo ni keshowMnisaidie kesho ni sikukuu?Naomba sikukuu hii ya Iddi isiwe kesho please mipango yangu itaharaibika kabisa
Sauwaa ila naona mashuka mazito tu.
Wake zenu wanapitia mengi
Hata mara moja moja kumpa zawad mkeo afurahi labda kama huna iyo laki na nusu
Wanawake wanapenda zawad haijalishi inaukubwa gan mtu akinunuliwa hata kitambaa Cha kufunga kichwan atakuja kwenye group na kutoa sifa za mume wake anampenda na kumjali na furaha tele
Sio wote wanapenda makuu mnunulie mkeo ajivunie ni kidogo ila atafurah
Kunakitu hakiko sawa kwao 😎Wanawake utawaweza? Na joto hili la Dar sijui wanatafuta nini?
Makochi boss karibuHapa unauza nini? Makochi, kapeti au taa?