Anakuja Yesu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 563
- 485
Umesha sema yuko home,unataka atoe wap hela?na unataka amwambie nani?we si ulisema umekua na unataka kuoa,na uliahidi kumlea?Alf unakuta yuko home luku ikiisha au gas anampgia mmeo
Sasa me nakushangaa umekuja huku kufanya nini?maana utatoa povuu wee lkn bado gas utanunua,luku utanunua,maji utalipia na kifurish kikiisha utanitumia,service ya gari juu yako mie aah navunja kiiko tu.