miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100Sitoi..
tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100Sitoi..
tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100
Kwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing.na mkituzalisha ndiyo mtajua maharage ni mboga
Joseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye.Ndio ndio mkuu nimeelewa
nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa rahaikifika 99 nakua nshajua...hunipati ng'oo
tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100
ha hahaha kobe ha hahahaKwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing.
ha haha weweHeh,na mim natoa apo apo,tena ndo naanza,.afu wanakufungia kweny kale kachemba ka mikojo,...nkua sijakuelewa haha
nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa raha
Hawa watu cjui wanapeleka wapi pesa zao
Shemeji kwenye pesa upo vizuri!!ndiyo ukweli
asante kwa usahihisho mkuuJoseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye.
Nimeelewa sana mkuu.
Unataka kujua tunako peleka??Hawa watu cjui wanapeleka wapi pesa zao