Baba yetu.......
Salam Maria.....
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.....
Eh Mungu Utusamehe dhambi zetu
Utukinge na moto wa milele,
Uongoze roho zetu Mbinguni
Hasa za wale wanaohitaji zaidi huruma yako.
Sio kibamia ni kabamia.Hiki kibamia etiiu!!!!
Hiki kibamia etiiu!!!!
we mwanamke? unawaza mito mbano saa hizi? lols!
tuko kwenye sala bana!!
Aliekuambia uweke picha za uchi naniii???
mh!@Excel hii siredi ya sala jamani.uchi?? we unaujua uchi?? hebu weka picha tuone..
Duniani kuna viumbe!uwasamehe mabazazi wote,
Walikukosea kwa sababu ya uumbaji wako tukufu uliotukuka.
Hawakuwa na jinsi kwakuwa majaribu ni mengi na warembo wamegoma kusema 'NO'. Uumbaji wako hakuna bazazi anayeweza kutoutendea haki.
Na sisi tuliobaki duniani, uzidi kutuletea vitu vikali zaidi na zaidi. ili hata tukikanyaga mawaya, tuyakanyage kwa haki na kufaidi kwa kina.
Utuepushe na vishawishi vya madenti. Jela si salama kwa mabazazi.
Tunapokuwa tunafanya ubazazi, ufumbe macho usituone, ili kwa wema wako upate kutusamehe siku ya mwisho.
Daima na milele.
CC KakaKiiza, Kaizer
Kama mwanzo,na sasa,na siku zote Na milele...
Amina.
Two assumptions, 1. Amekata tamaa ya maisha ya sasa na yajayo 2. Sauti ya Mungu ndani mwake (ile sauti ndogooo ambayo mara zote hukukataza kutenda maovu) imepotea kabisa. Sasa cha muhimu ni kumuombeana tu.
pia rehemu the deceitful tongue of some ppo n sinners ili atleast ule moto wa jehamamu unaosemekana ni mkali mara 7 ya moto wa kawaida uwachome walau mara 6 tu ameUtusamehe pia wachafuaji wa thread na wachangia kila thread
Uwaongezee pia matusi mapya mapya maana haya matusi ya kahaba,malaya yameishiwaa ladhaa ,pia wasamehe waliopewaa ban za mie 6
,pia nawaombea wabeba box wote wasinyimwe haki yao msingii na wanaopinga hilii uwafanye hanithii woteeeeeeeee
AMINAAA