Eh Bongo tunaua wachina hivi..

Eh Bongo tunaua wachina hivi..

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Source:Mananchi newspapers, 09/03/10

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, katika kipindi cha kati ya , Novemba mwaka jana hadi mwishoni mwa wiki iliyopita, raia wanane wa China, walikuwa wameuawa katika matukio ya ujambazi yaliyoambatana na uporaji wa mali zao.

Mwenyekiti wa wafanyabiashara hao, Huo Jin Feng, alisema Wachina wanaofanyabiashara zao katika eneo la Kariakoo, wamepoteza imani ya kulindwa na askari kwa kuzingatia kuwa matukio hayo yanazidi kukithiri.

"Tangu Machi mwaka jana hadi leo, Wachina 12 wameuawa na majambazi wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara na mafundi wa barabara. Lakini pia wengine wameporwa mali mbalimbali zikiwemo fedha, jambo linatishia amani yetu na ndiyo maana wengi wanatamani kurudi kwao na kama wasingekuwa na mizigo mikubwa ya biashara wangesharudi,'' alisema Jin Feng

Jin Feng alisema usiku wa Februari 28 mwaka huu, katika Mitaa ya Agrey na Lumumba Kariakoo, majambazi yalimuua mwenzao, Xu Shouxi (60) ambaye mwili wake, unasubiri maamuzi ya mtoto wake kuhusu ama uzikwe nchini au upelekwe China.

Katika mkutano huo, ofisa mmoja wa polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema mkakati umeanza wa kuimarisha doria katika eneo la Kariakoo na maeneo mengine ili kuondokana na adha ya kuvamiwa kwa raia wa China na wananchi kwa jumla.
 
Hizo ni porojo tu, hata watanzania wanauawa kila siku na jesho la polisi halifanyi kitu. Kama hawafanyi kitu watanzania wakiuawa sijui kama watafanya kitu wachina wakiuawa. Labda majambazi wakianza kuua polisi huenda watakuwa makini zaidi.
 
Mgeni njoo, mwenyeji apone.. Maadam wameguswa wageni nadhani muda si mrefu tutasikia ujambazi kukomeshwa maeneo hayo.
 
Jamaa wanalalamika nini...mbona huku china blacks wananyanyaswa sana na polisi. wapo wanaouawa magerezani na mbaya zaidi kuna chinese mafia
 
Kuna waafrika wengi tu wanauawa China na hakuna anayejali. Hili nalo nani analizingatia?
 
Kuna waafrika wengi tu wanauawa China na hakuna anayejali. Hili nalo nani analizingatia?

nishaona documentary jinsi wachina wanavyonyanyasa waafrika bila sababu za msingi bali ubaguzi,hio kuuawa na majambazi popote duniani.
 
Hizo ni porojo tu, hata watanzania wanauawa kila siku na jesho la polisi halifanyi kitu. Kama hawafanyi kitu watanzania wakiuawa sijui kama watafanya kitu wachina wakiuawa. Labda majambazi wakianza kuua polisi huenda watakuwa makini zaidi.

Hata mi nawashangaa hawa watu. Yaani wanataka wapewe special protection kwa lipi? Kutuletea bidhaa feki?
 
Wakafanyie biashara zao peponi basi, kwani ni wapi watakapoenda ambapo hakuna matukio ya uhalifu kama hayo..
 
Shame on them! Wao wanavyoleta bidhaa feki wameua wabongo wangapi?
 
Sidhani kama wameuawa kiasi chakusema kwenye vyombo vya habari after all wanatunzingua, wanatakiwa wawe wawekezaji sio machinga! Hasira inapanda miongoni mwetu manake hata biashara ambazo tungefanya sisi wamevaamia alafu serikali inaangalia tu!
 
Wakafanyie biashara zao peponi basi, kwani ni wapi watakapoenda ambapo hakuna matukio ya uhalifu kama hayo..
M-bongotz!
Who cares! Hiyo idadi ni ndogo mno na kuanza kuinyanyulia bango. We should be much concerned about the religious killings in hundreds in Jos Nigeria kuliko wachuuzi wachache kuuwawa Kariakoo or say the killings in Tarime. Of course we don't acccept killing of any innocent person but making this as a big deal somebody is just overdoing it. Kwani wafanyabiashara wanaouwawa Tanzania kwa mwaka ni wengi let us continue with our problems kwani hii hutokea everywhere in the world kuanzia wanaochomana visu kule UK hadi wanaojilipua na kuua mamia in Iraq,Pakstani or Kabul na kuendelea just click!
 
hopefully you guyz somehow u wont blame kenyans, or will you?
 
Source:Mananchi newspapers, 09/03/10
wamepoteza imani ya kulindwa na askari kwa kuzingatia kuwa matukio hayo yanazidi kukithiri.

.
Heee kumbe wanalindwa!!! Mungu awape nini tena?
 
Shame on them! Wao wanavyoleta bidhaa feki wameua wabongo wangapi?

Bidhaa feki munakwenda kuchukua wenyewe Watanzania kwa kuona mutapata faida kubwa. Kwa nini umlaumu Mchina?

Na huko kuuwawa kama sisi wenyewe Watanzania tunaona ni sawa kwa wenzetu sio sawa. Wao wanajali raia wao jee sisi Balozi wetu alilalamika kuhusu unyanyasaji wa raia wa Tanzania huko China?
 
hopefully you guyz somehow u wont blame kenyans, or will you?

offcourse we will blame KE-NYANIS kwa ujambazi na matukio ya kutumia silaha yanayopelekea kuuliwa kwa raia wetu watanzania...we dont care much kama hawa wachina nao mnawaua katika matukio ya ujambazi....pole sana najua nimeumiza hisia zako but you throw a stone to my house unfortunately urs ni glass house..ahahahaha...NOMA SANA MATHEEEE
 
Shame on them! Wao wanavyoleta bidhaa feki wameua wabongo wangapi?

So you are trying to justify their murders just because you presume that their fake products have killed some Tanzanians, were the Tanzanians forced into buying their commodities? were they hoodwinked that the products were original? No, we cant blame China for the influx of fake and substandard products in our market, whereas some of us floss with fake blackberries and iPhones yet we know we got them for cheap (fake).

the people who have committed the offense should be arrested and charged with murder, najua ingekuwa waTZ wawili wameuliwa China mngepiga midomo sana, so why the double standard?
 
so you are trying to justify their murders just because you presume that their fake products have killed some tanzanians, were the tanzanians forced into buying their commodities? Were they hoodwinked that the products were original? No, we cant blame china for the influx of fake and substandard products in our market, whereas some of us floss with fake blackberries and iphones yet we know we got them for cheap (fake).

The people who have committed the offense should be arrested and charged with murder, najua ingekuwa watz wawili wameuliwa china mngepiga midomo sana, so why the double standard?



kwani watanzania hawauwai nje.? Na una support siyo? Hakuna watu wauawaji na majambazi na wezi kama wakenya. Kuja kuzengea kazi za watanzania, i hate the madhafakazi!
 
Back
Top Bottom