maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
Obama sio Muislamu yule, mshenzi sanaNashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.
ILA OBAMA ROHO YAKE SIJUI IKOJE KWA KWELI YANI WAISLAMU WENZAKE ANAWAFANYIA HIVI?? NA YEYE BABA YAKE KATOKEA HAPO KENYA? KWELI NDUGU KUFAANA BWANA.
Tatizo ni serikali ya kiislamu kutawala jambo ambalo wazungu wenu hawatakiField Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.
Sio muislamu huyo obamaNashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.
ILA OBAMA ROHO YAKE SIJUI IKOJE KWA KWELI YANI WAISLAMU WENZAKE ANAWAFANYIA HIVI?? NA YEYE BABA YAKE KATOKEA HAPO KENYA? KWELI NDUGU KUFAANA BWANA.
Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?
Unaweza kunieleza uhusiano wa mubarak na marekani ulivyokua?
Maskini alifanywa ganda la muwa na wazungu! Bora wamemuonea huruma.Ni kweli kabisa.. baada ya mission kuisha wakaona hana maana wakatumia tena propaganda za kuwatoa muslimu brotherhood...
Lengo lilikuwa kuwangusha hao viongozi na siyo vingine
Duuu!! Kmbe ndyo mana [emoji45] [emoji45]Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit?
Webster G. Tarpley, Ph.D.
TARPLEY.net
February 18, 2011
Washington DC, Feb. 18, 2011 — There never was an “Egyptian revolution,” but rather a behind-the-scenes military putsch by a junta of CIA puppet generals who evidently could not succeed in their goal of ousting Hosni Mubarak without the help of a heavy-duty ultimatum from Washington in the night between Thursday, February 10 and Friday, February 11, 2011. There is growing evidence that the threat in question involved the seizure or blocking of the Suez Canal, the Egyptian waterway which carries over 8% of all seaborne world trade, which the imperialists tried to grab back in 1956, and from which they would today like to exclude China, Iran, and Russia. As for Mubarak, there are strong indications that he was toppled by Washington and London because he opposed the current US-UK plan to organize a block of Sunni Arab states such as Egypt, Saudi Arabia, Jordan, and the Gulf states — under a US nuclear umbrella and shoulder to shoulder with Israel — for purposes of confrontation and war with Iran, Syria, Hezbollah, and their Shiite and radical allies.
Mubarak Toppled by CIA Because He Opposed US Plans for War with Iran; US Eyes Seizure of Suez Canal; Was this the Threat that Forced Mubarak to Quit? « TARPLEY.net
sawa mkuu.wamarekani walikwa washamchoka mubarak,kama unakumbuka hata wakati uprising ikianza,mubarak aliomba msaada marekani ili wamsaidia kuzima maasi,obama alimwambia aachie ngazi kwa macho makavu,
pia obama hakutaka morsi apinduliwe,tena kama unakumbuka marekani ililaani wanajeshi walipompindua morsi,na ilitokea ghafla kiasi marekani hawakujipanga watamwokoa vipi,
kama hujasahau baada ya mapinduzi,marekani walisitisha msaada wa pesa na silaha kwa misri,
wamekuja kurudisha baada ya al sis kuanza kuelekea uelekea wa Russia,ndo marekani wakasituka na kurejesha misaada,
japo ni kama too late maana al sis na putin ni chana na pete sikuhizi.
Sijui mubarak aliwakosea nini marekani,lakini nadhani operation yote ilihusu regime change kuwaondoa viongozi wa kiarabu wenye nguvu kwa kutumia muslim brotherhood,ambapo walijua baadae nchi zitavurugika(distabilise),ili kuzifanya weak,for israel advantage
ni nani? mbona unanichanganya mkuu.Obama sio Muislamu yule, mshenzi sana
ni dini gani sasa?Sio muislamu huyo obama
You know less or nothing at all.Field Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.
Mkristo,mbona amesema hilo zaidi ya mara kumi.ni nani? mbona unanichanganya mkuu.
Hapana baba yake hussein ni muislamu.Mkristo,mbona amesema hilo zaidi ya mara kumi.