EFM Radio Mna-fail wapi?

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
310
Reaction score
459
Ni karibu mwezi wa pili sasa Radio EFM haisikiki Morogoro, tatizo ni nini? Au labda hamjui kwamba matangazo yenu yamekatika Kwa muda wote huu? Mnatukatili wasikilizaji wenu. Au labda tukubaliane na maneno ya Yule msanii Mzee Onyango aliyekuwa anasema kuna Radio mwisho Chalinze!! Ebu tafuteni ufumbuzi wa Baraka, Nawasilisha.
 
Washafeli,,, watangazaji kibao wameshawakimbia,,, ! Last week nilienda Dom mara moja, walikuwa hawasikiki, now sijajua wamerudi hewan ama lah !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…