Unko T JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 200 Reaction score 266 Jul 8, 2017 #1 Hii Media House ni tishio sana kwa uwepo wa radio na tv nyingine. Wamepiga promo kwa tv na radio yao tu na kuisimamisha mwanza. Hapa ndipo nguvu ya Media inapoonekana. Ngoja niendelee kuruka na Stamina bhana, napost huku burudani inanipita.
Hii Media House ni tishio sana kwa uwepo wa radio na tv nyingine. Wamepiga promo kwa tv na radio yao tu na kuisimamisha mwanza. Hapa ndipo nguvu ya Media inapoonekana. Ngoja niendelee kuruka na Stamina bhana, napost huku burudani inanipita.
Kidowle JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,484 Reaction score 3,260 Jul 8, 2017 #2 wanajitahidi
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,324 Reaction score 3,709 Jul 8, 2017 #3 Duuuuuuuuh.... Huu mchezo hahuhitaji hasira
I ihagaa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 250 Reaction score 174 Jul 8, 2017 #5 lets say watu wako 50000 mara 1000..n 50miloin
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,030 Reaction score 6,278 Jul 8, 2017 #6 Watu wapo kwenye burudani lakini wanaonekana wana mawazo! Ila yote heri.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Jul 8, 2017 #7 Biko nasikia ndio wamedhamini...kiingilio buku
roservelt JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,418 Reaction score 1,520 Jul 8, 2017 #8 Salaaam kwa mawingu fm
The Chosen One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 3,579 Reaction score 17,013 Jul 8, 2017 #9 Pongezi kwao
R rugberna97 Senior Member Joined Sep 22, 2016 Posts 147 Reaction score 126 Jul 8, 2017 #10 ihagaa said: lets say watu wako 50000 mara 1000..n 50miloin Click to expand... Show ya bure