Kuhusu kumiliki EFD
1. Ufikishe kiwango hitajika cha Returns 14m kwa mwaka.
2. Wateja wako. Yawezekana biashara yako japo mtaji mdogo lakini wateja wanakulazimisha uwape risiti za TRA.
3. Kwa manufaa yako ili kuweza kuweka udhibiti wa biashara zako.
Karibu EFD. Kama Upo Manyara, Arusha na Kilimanjaro nitafute.