Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,315
- 93,930
Kuna mitandao mingi sana ya wanawake kuchezeshwa video Ngono kwa Malipo makubwa sana.Katika pita pita zangu huku na huko,nakutana na binti akiwa mnyonge sana,ananisalimia kwa nidhamu kabisa na kuniomba pesa ya kula!(ilikuwa Alhamis ya wiki iliyopita)
Nikampatia pesa ya kula kwa wakati huo,akshukuru sana na kuondoka,aliniomba namba nikampatia bila shida...
Jioni yake alinitafuta na kunisalimu tu,baadaye ikawa kawaida yake kunisalimia salimia!
Juzi baada ya salamu nikataka kujua hapa Dar anafanya kazi gani,na anaishi wapi?(lilikuwa kosa kubwa nafikiri) aliyonisimulia hayakuwa Mambo niliyoyazoea kabisa,huwa nayasikia tu...
Akanambia ANAJIUZA MAKABURI YA TANDALE SIJUI...
Baada ya kunambia hivyo ilinichukua masaa kutafakari,nikaamua kumdadisi Kama ambavyo conversation zinaonyesha hapo chini...
Kilichonisikitisga zaidi ni hiyo text yake ya mwisho....
View attachment 1419309View attachment 1419310
Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 1419309View attachment 1419310
Baada ya kutoka pale na kupewa hiyo pesa nyingi kwa mtazami wao...
Hujikuta hayawezi tena kujizuia, kupigwa kotekote, matokeo yake wakishaona wameharibikiwa sana wengi huamua kujiuzaa tu..
Ndio sababu nikatoa Uzi humu..... "unapojihisi umeharibikiwa, usikubali kuendelea kuharibu".