Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
Katika pita pita zangu huku na huko,nakutana na binti akiwa mnyonge sana,ananisalimia kwa nidhamu kabisa na kuniomba pesa ya kula!(ilikuwa Alhamis ya wiki iliyopita)
Nikampatia pesa ya kula kwa wakati huo,akshukuru sana na kuondoka,aliniomba namba nikampatia bila shida...
Jioni yake alinitafuta na kunisalimu tu,baadaye ikawa kawaida yake kunisalimia salimia!
Juzi baada ya salamu nikataka kujua hapa Dar anafanya kazi gani,na anaishi wapi?(lilikuwa kosa kubwa nafikiri) aliyonisimulia hayakuwa Mambo niliyoyazoea kabisa,huwa nayasikia tu...
Akanambia ANAJIUZA MAKABURI YA TANDALE SIJUI...
Baada ya kunambia hivyo ilinichukua masaa kutafakari,nikaamua kumdadisi Kama ambavyo conversation zinaonyesha hapo chini...
Kilichonisikitisga zaidi ni hiyo text yake ya mwisho....
Sent using Jamii Forums mobile app