bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,140
- 5,286
Habari Ndugu zanguni,
Kuna Edward Moringe Sokoine mpya nyuma ya utawala huu wa Mama, lakini amefichwa na wala rushwa,walanguzi,mafisadi, wachumia tumbo, mabingwa wa kuhujum nchi.
Huyu Sokoine mpya alikuja vizuri sana na sera zake na tayari tuliona maono yake ni ya muda mrefu kwa taifa letu lenye amani. Lakini katika tawala hizi mbili almanusura akengeuke, kumbuka Sokoine huyu ni kama yule tu ambae alipendwa sana sana na mchonga meno na ndiyo ilikuwa great expectation kwake kwa vijana wa taifa hili.
Bahati mbaya sana Mungu na mipango yake haikuweza kutimia kuwa pale tuna imani one day, Sokoine huyu mpya atarudi na kuwa tumaini letu jipya kutimiza agano la Mwl. Nyerere.
Leo hii taifa hili siyo la kukaa gizani, na kukosa umeme huku maji yakija kwa style ya kifurushi baada ya muda unapokea ujumbe wa kubakiwa na 75%, tuna wasomi kutoka chuo kinachotajwa kama bora ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati toka enzi ya uhuru 1961.
Wasomi uchwara tu, walioshindwa kulitetea taifa lao, ilhali walisomeshwa kwa loan board. Kuna koo flani zinajimilikisha keki ya taifa kama wao ndiyo wenye nchi, na sisi wengine hatuna authority nayo.
Mikopo, mikopo,r ushwa, rushwa, tozo, ufisadi, ulanguzi, umaskini.
Kumbuka hotuba ya Mwisho ya Sokoine 1984, Kwenye kikao cha NEC Dodoma.
"The end is near, repent."