Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
hawa ni watu ambao kila mtu amelikoroga kivyake.
hata hivyo, mmasai ana nidhamu kidogo. alipoona limebumbuluka, yeye alijiengua kwenye reli.
lakini hiki kichwa kinaitwa hosea kila nikifikiria ninashindwa kupata majibu. hosea amekoroga mambo mengi; kama kiongozi muadilifu alipaswa kuwa amejiuzulu siku mingi sana:
-kusafisha richmond
-kusafisha chenge na kashfa ya rada
-wikiliki
lakini jamaa (hosea) bado ana dunda tu.
hii ni zarau au?
ana mafaili yao wote hao, mengine unaweza kukuta kaya hifadhi nje ya nchi.
Sijui Ngw'anangwa ungekuwa wewe kwenye ile nafasi halafu kwa taarifa za vyombo vya habari tu kama ungejiuzulu...kwa mantiki hiyo kesho baba yako akitolewa "First heading" kwenye gazeti la KIU au IJUMAA (udaku) kwamba kafanya jambo fulani utamtaka ajiuzulu...!!!There should be proven grounds with no doubts kwamba fulani katenda jambo fulani na sio udaku wa vyombo vya habari vimfanye ajiuzulu...kwa mtindo huu kila mtu anayeandikwa na Media atakuwa anajiuzulu...
Inasikitisha unapoleta SIPMLE REASONING kwenye SERIOUS MATTER kama hii. kwa uwezo wangu mdogo wa kung'amua mambo, nahisi wewe ndo Hosea mwenyewe au mwanae au ndugu wa karibu. Hivi kweli jambo la rushwa kwenye hii serikali ya ccm unaweza ukalifananisha na habari za udaku??? YOU MUST BE A BENEFICIARY OF THIS THING, or YOU ARE OUT OF YOUR MIND. nakushauri ukatafute mzembe wa kufikiria kama wewe ndo um-hadithie hizo cheap thoughts zako.
Inasikitisha unapoleta SIPMLE REASONING kwenye SERIOUS MATTER kama hii. kwa uwezo wangu mdogo wa kung'amua mambo, nahisi wewe ndo Hosea mwenyewe au mwanae au ndugu wa karibu. Hivi kweli jambo la rushwa kwenye hii serikali ya ccm unaweza ukalifananisha na habari za udaku??? YOU MUST BE A BENEFICIARY OF THIS THING, or YOU ARE OUT OF YOUR MIND. nakushauri ukatafute mzembe wa kufikiria kama wewe ndo um-hadithie hizo cheap thoughts zako.
hawa ni watu ambao kila mtu amelikoroga kivyake.
hata hivyo, mmasai ana nidhamu kidogo. alipoona limebumbuluka, yeye alijiengua kwenye reli.
lakini hiki kichwa kinaitwa hosea kila nikifikiria ninashindwa kupata majibu. hosea amekoroga mambo mengi; kama kiongozi muadilifu alipaswa kuwa amejiuzulu siku mingi sana:
-kusafisha richmond
-kusafisha chenge na kashfa ya rada
-wikiliki
lakini jamaa (hosea) bado ana dunda tu.
hii ni zarau au?
Hosea ana roho ya jiwe, anatafuniwa kaila kitu lakini kumeza hawezi! Kila siku wala rushwa wanatajwa yy badala ya kuzifnyiwa kazi taarifa na kuwakamata watuhumiwa anajipanga kuwalinda. Wabunge walarushwa wametajwa yy anabung'a macho, 27 wanamapesa nje ya nchi, hosea anafunga tai tu, halmashauri watu wanajichotea mapesa hosea kafumba macho na masikio. Hosea anaidhalilsha TAKUKURU, Bila Hosea TAKUKURU wanaweza kazi!
Wamuzengo hakuna ninachokitetea hapa...ila penye ukweli tuwe tunausema, hivi kweli kazi yote ambayo naishuhudia mimi ikifanywa na TAKUKURU kupitia Media wewe huioni au huna macho, I mean unaona giza kabisa...basi inabidi uwekewe kibatari angalau uweze kuona. Ina maana hao wakubwa tena walio kwenye nafasi za uwaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wa Taasisi na Halmashauri waliofikishwa mahakamani haikutoshi kuona angalau hawa wenzetu wanafanya kazi...!!!???
Mimi nakuona wewe ndio unatumwa na wanaomchukia Hosea uje kutuletea majungu dhidi yake humu JF...nashauri majungu tuyaache sasa kwani hii FORUM ni kwa ajili ya kujadiliana mambo ya maendeleo na namna nzuri ya kumsaidia wananchi wenzetu kuondokana na umaskini...the one who is out of his mind is you, don't bring accusations without proven grounds...find a better source before telling us your lies...!!!
Na unapoilaumu CCM peke yake kwani hao Chadema huwaoni walivyopelekana mjengoni kiundugu kupitia viti maalum...Baba na mwanaye, shangazi na uhusiano mwingineo tena wote kutoka Kaskazini mbona hujatujuza humu tujadiliane???Rushwa ipo kila mahali na wala sio CCM pekee funguka macho wewe, mzembe wa kufikiri na mwenye cheap thought za kudanganya watanzania ni wewe pimbiiiii...!!!
utakuwa unatetea mambo usiyojua endelea kuwadanganya wenzio wenye uelewa mfinyu.