Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Tunahitaji rahisi wa kutukimbiza mchakamchaka
hata kwa uchawi hawezi kuwa kamanda in chief
Naunga mkono hoja
Kwa mtu anayefuatilia siasa za bongo kwa makini atakubaliana na mtu asemaye EL ni kiongozi mzuri, na ukifuatilia sakata lililomchafua huyu mzee hata watu kumrushia madongo, lilikuwa la JK. japo mimi si mwanagamba lakini namfagilia sana EL. ndani ya wanagamba sioni mtu awezaye kupambana na mwanagwanda zaidi ya EL.
Huyu jamaa nyendo za sokoine, atainyoosha hasa hawa watendaji wanaotuhumiwa siku hizi na bado wapo wanatanua maofisini angekuwa ameshawafyekea mbali
Lowasa akiwa Rais wa nchi hii basi mimi ntahama nchi.
Siwezi kuongozwa na richmondondo hata kidogo labda nife kesho. Vinginevyo sitakubali kabisa.