Edward Lowassa special thread


pumbavu huwez kuandika
huelewek;ficha upumbavu wako
 
lowasa anatajwa kuliko mtu yeyote ndani na nje ya ccm ,only tanzania
 
kwanza haueleweki kabisa. Naona umejichanganya na mfano wako hauko sawa. Jipange upya na kutuma uzi huu.
 
Waswahili ni watu wa ajabu sana,Na uswahili uswahili haunaga maendeleo hapa kidogo.
Leo Ccm chini ya Jakaya walishaunda familia ya kurisishana madaraka wao na lowassa ghafla Jk amembadilikia Lowassa sasa anatafuta mrithi mwingine atakaye kuja kulinda maslahi ya rizone na watu wake.
Mtu ataye hakikisha kabla ya kumaliza kipidi chake cha mwisho kama akiingia ikulu,Rizone atakuwa waziri au naibu.
Mtu ambae hata baada ya miaka kumi naye atamrishisha mwingine atakayeendeleza utamaduni wakurisisha vizazi vya nyoka ikulu
Hatukubali na haikubaliki duniani mpaka kwa mungu hii ni nchi yetu sote na siiiii...ya kifalme.
 
Sijui umeandika kimakunduchi au kama kiswahili vile! Tutafutie mkalimani anayejuwa hii lugha atueleweshe unataka kusema nini.
 
Wewe ndio haukubali sisi wengine tumekubali nchi yetu tukufu haiwezi kutawaliwa na fisadi.


 
Kumbe kiswahili kigumu,huh.
Sijaelewa kitu hapa..
 
 
Mmemlia mzee wa watu pesa sasa Kingunge lazima awaroge.. Mtalala na mapopobawa kila siku hahaha
 
kakatwaaaaaaaa
nasubiria mafuriko kesho nishaandaa mtumbwi
 
"Eloi, Eloi, lema sabachthani?" which means "My God, my God, why have you abandoned me?" yaani mungu wangu wangu mbona umeniacha.....hahaha ..AMEKATWAAAAAAA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…