Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,104
- 28,605
acha wivu wa kike kila mtangaza nia amezidisha idadi coz sheria inaruhusu! mwenye wachache ana 650!
Hivi babu dr. Bilali kapata wadhamini jumla wangapi?
Naomba kujuzwa .....
Walitakiwa 450 tu kwa mikoa 15, hao wengine wanini? Mwambie aache sifa za kijinga.
Jamaa linapiga kampeni kwa mgongo wa kutafuta wadhamini.
Hao wadhamini 870,000 ni wengi kwa wapi wachache ili hadi wawe sauti ya Mungu?
Nani alimwambia anatakiwa kushindana na wenzake kwa idadi ya wadhamini kwamba atakayepata wengi ndiye Sauti ya Mungu?
Kanuni ilikuwa mikoa 15 wadhamini 450. Huko kote mikoa 30 na watu 870,000 ni maelekezo ya nani kama siyo yake binafsi?
Wapiga kura wa Tanzania ni zaidi ya 25,000,000. kati yao 3,000,000 ni wanachama waliosalia ccm. sasa yeye anaposema 870,000 ni wengi kwa hesabu ipi? Wengi kuzidi wapi, kwa hesabu gani?
Kweli huyu jamaa ni mwehu!.
Hivi babu dr. Bilali kapata wadhamini jumla wangapi?
Naomba kujuzwa .....
acheni kukulupuka kama.chafya
kwan kowassa kupata wadhamini wote haoo na pia kumaliza mikoa yote sauti ya wengi ni sauti ya mungu na ambaliki mtu huyuu aende magogoni
EL ni msalaba kwa ccm sio nchi mkuuHoja yenu dhaifu wananchi wameichoka hakuna atakaye kuelewa sikuhizi ukisema LOWASSA ni fisadi. Pia tumeanzisha uzi huu tutiane moyo, tuufaamishe UMMA wa JF na watanzania kwa ujumla kwamba E.L ni nani hasa cha kushangaza unaingia kichwa kichwa na point zako dhaifu
Kuna makada wao humu, jitahidi kuperuzi threads za kumsifia Lowassa utawajua tu, wanaweza kukuunganisha nae mkuu...!