...kweli EL na KKKT hawakukutana barabarani!
Mwacheni huyu bwana. Kwani kawafanya nini ambacho hao viongizi wenu wengine hawakufanya. Si aheri huyu alikuwa anafwatilia mambo kuliko huyoooo........Gadafi alionekana mbaya lakini kimeanza kunuka huko wanamjutia sasa. Hakuna mtu msafi 100%, lakini wapo ambao ni afadhali.
"Mgonjwa wa wodini si saw na wa ICU."
Hongera Rais ajae 2015 ! lowasa. Big up mkuu.
Katika maisha kuna watu ambao tunawaita "tough guy" .Huwa wanapitia misukosuko mingi lakini mwisho wa siku wanaibuka kama watu wema wenye nguvu na ushawishi regardless imewachukua muda gani kurudi kwenye form-Lowassa,Zuma,A. Wade wa senegal,Satta wa Zambia n.k ni watu wa type hiyo.
Muhimu kukumbuka ni kwamba haijalishi wametumia njia halali au haramu kufikia kwenye wema upya lakini pindi wanapozitumia hizo njia hufanikiwa. Mfano mwingine: Mtu anafukuzwa kazi,anadhalilika, kudharaulika na kupigika haswa lakini mwisho wa siku anaibuka na kazi nyingine nzuri zaidi ya awali ama biashara inayolipa zaidi. Watu hawa wapo katika jamii zetu kinachowatofautisha ni njia za kurudi kwenye mafanikio.
Habari nzuri sana hii Mh Rais ajaye endeleza harakati mpaka wabaya wako wanyanyue mikono.El For 2015
Huyu ni fisadi. Hawezi kuwa Rais. Akiwa Rais atawakamata vipi mafisadi? Ili nchi iendelee Serikali inapojenga barabara,inapojenga majumba,inapojenga dams;wananchi wanaotolewa pale lazima walipwe fidia,na wanapolipwa fidia,lazima wapunjwe sana,lazima kila siku wananchi wawe wanalalamika tu,people have to sacrifice present comfort for future prosperity. That is what Capitalism is all about. Sasa hizi kazi zote za lazima za maendeleo utazifanya vipi if you have too contend with fraudsters like this Good Sir?
Kama umethubutu kumfananisha Zuma na El basi tena wewe na wenzako wanaowaza hivyo kwishne au ndo lile fungu la kumsafisha limewafikia
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa ambapo yeye ndiye mgeni rasmi. Wadau wa JF waliopo huko ebu fuatilieni nyendo za kiongozi huyu na kutumwagia nyepesinyepesi hapa jamvini.
huyu mgonjwa wa gauti anahangaika! Kwani lazima uwe raisi?
Akuna kulala lowassa ]na catholic tuko nyuma yako milele
samahani kuweka wazi ni waziri ambae leo hii angekuwa madarakani natumaini upumbavu na upuuzi wa manispaa kuiba million 300 mpaka billion 2 na cag kukaa kimya na rais kukaa kimya asingeweza vumilia upumbavu huu jamani
is my president so far ...