INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
Tuwe wakweli tu Lowasa ni mchafu halafu anzungukwa na watu wachafu hakuna nafuu hata upande mmoja.
wasafi wenu hamuwataji sasa,hapo ndio mnapozidi kutia watu mashaka...!!!!
Tuwe wakweli tu Lowasa ni mchafu halafu anzungukwa na watu wachafu hakuna nafuu hata upande mmoja.
Ndugu gnassingbe,
Pole sana. Nadhani nimekukwaza kwa kuandika juu ya umpendaye. Bahati mbaya sana suala la urais ni zito na linagusa maisha ya kila mtanzania. Mimi kama mtanzania ni wajibu wa kutoa maoni yangu juu ya rais ajaye. Hii si dhambi.
Naomba usome vizuri andiko langu. Sijasema Edward Lowassa anawalipa pesa wanaohudhuria mikutano yake. Lakini mazingira ya mikutano yake yanapelekea watu waamini hivyo. Huyu jamaa hana hoja nzito lakini watu wanashangilia kupita kiasi. Hapa pana walakini. Inaewezekana watu wanalipwa kushangilia au upeo wao wa kuchambua mambo ni mdogo.
we sema ukweli kuwa ni mmoja wa watendaji waoga na wasiotimiza wajibu mnaoogopa kuwa akichukua nchi mtakalia tako moja stupid
Nakushauri urudi tena darasani kujifunza uhalisia wa dhana ya maamuzi magumu, LOWASSA amekuwa katika maamuzi magumu si kana dhana bali uhalisia wa matendo katika kuyatekeleza, mfano Maamuzi ya watanzania kutumia maji ya ziwa Victoria.
Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka wa 1929 na 1959 huu ukiwa mkataba wa kikoloni uliosainiwa kuisaidia Misri kitumia maji ya Mto Nile katika shughuli za umwagiliaji, lakini LOWASSA akiwa anajua shida ya watanzania aliamua kuchukua maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huo kwa masilahi ya Taifa zima,
Huyo ndiyo LOWASSA bhana Rais wa awamu ya 5
au kwenda act kama atakatwaMaamuzi magumu itakuwa ni kuwakata shingo wananchi.
Nchi inahitaji rais kichaa kidogo awatandike kwanza mpka wanyooke na anayeweza hiyo ni EL tu na sio Mwngine.
Na ambao sio wezi hawajapata fursa au ni waoga tu sio waadilifuHivi nani sio mwizi Tanzania? Watanzania wote ni wezi, yeyote atakayechaguliwa ni mwizi, kama wezi lazima tuwe na kiongozi wether EL or any other. Hivi wewe na umaskini huu unafikiri kuna mtu anatakwenda Magogoni kwenda kundeleza umaskini?. Lazima akwapue kwanza chake akishashiba ndio atawakumbuka maskini.
Hoja nzito ni zipi? Mie nadhani hoja wakati mwingine ni relative!!Una uhakika gani kwamba walioshangilia hawaoni kwamba hizo ni hoja nzito,,,,ila nachelea kusema mimi 'personally' nadhani Lowasa simkubali hasa kutokana na yeye kuwa mmoja wa wakuu wa mtandao uliomuweka JK madarakani na huu utawala umeniangusha kwahiyo naamini itakuwa hivyo hivyo kwenye utawala wake.