DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Wadau
Najitokeza kuzungumza machache na mshindani wa Urais 2015 Edward Lowassa.
Mh inawezekana matokeo ya urais yamekukwaza sana..
Edward yawezekana matusi uliyotukanwa kwa hakika umemuachia mungu..
Baba Fred yawezekana unafunga na kuomba ili mungu akupe moyo mwepesi, uzidishiwe hekima ,mungu azungumze na hao waliokudhihaki kwa vitendo na ulimi.
Edo tunaomba pia utuombee watanzania kwa kipindi 'kizuri' tulichonacho
Naimba mh Lowassa utuombee tupate mvua, omba pia mungu amzidishie Rais wetu hekima.
Edward Lowassa ..tunaomba moyo wako uwe mwepesi..