Mnaweweseka kusikia mzee mzima anaingia Arumeru kwa vishindo!
Bear in your mind that, alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani.
Chui wa makaratasi ndio nini
Hivi kumbe ulibwia chan'gaa nyingi sana. Naona unaendelea kuitapika tu.mungu wako anabariki uporaji wa maskini, hakika si MUNGU wangu, hilo MUNGU wangu hawezi kulibariki kamwe!
Nazan Frank M wewe ni mmoja wa wale waliotumwa kupima maji ya bahari na rula mm ni mwana arumeru mashariki unadanganya umma wambie waliokutuma kama Lowasa hawawezi wasubiri 2015..elewa chama si CCM tu..
Wambioe eti akna M na S bado mapema wasiwe na papara...2015 mbivu na mbichi itajulikana..kuna viwili Lowasa kuwa Rais au CCM kuvunjika ...karbu arumeru mashariki..
Kaka ungeweka na PICHA kaka, unajua hizi zama za sayansi na teknohama ni vizuri habari kama hii ikaambatana na PICHA.Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini hakika hawezi kung'ata. Ni mwigizaji by profession na maisha yake yote ya kisiasa amekuwa anaigiza na kuna watu wa kutosha wanaoamini maigizo haya ni halisia! Of course alisoma degree ya "Theater Art"
Bear in your mind that, alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani.
Sheikh Yahya at work.Lowassa hatafika mbali...
Kimsingi Mh Lowasa yupo sawa na anafaa licha ya katiba ya jamhuri ya muungano kumruhusu, tumechoka na viongozi wa kutengenezewa, mwacheni Mh Edward na kama kuna mwingine ajitokeze mapema ili watz wawe na muda wa kutosha wa kuwapima, kama wewe umampinga Lowasa watanzania wenzako wanamkubali na huo mchezo uliochezwa na akina Mwakiembe na Sita watanzania hawdanganyiki tena. Usibaki tuu kumpinga bali tuambie huyo unaedhani anafaa ili watz wawe na fursa ya kuchagua. Wana JF tuwe makini sana na hawa wanaotaka kukandamiza demokrasia ya mtu, kila mtu ana haki isipokua asivunje sheria.