Edward Lowassa Anaunga Mkono Serikali za Majimbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowassa Anaunga Mkono Serikali za Majimbo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 9, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Lowassa ni Senator wa Arusha?
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hueleweki
   
 3. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbona habari haieleweki? Jaribu kuandika kitu chenye kueleweka mkuu.
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bangi za ch...ni!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nimemuelewa ... EL ameshajua hakubaliki TZ nzima... kwa hiyo kukiwa na serikali ya majimbo anaweza akawa senator wa arusha kwani huko ndipo anakokubalika ... hivyo basi akawa mtawala wa jimbo lake na kurudi kwenye ukubwa kama urais.... Ng'wanangwa ...kula tano yangu instantly....!.... nimekusoma
   
 6. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo vipi tena hapa?
   
 7. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Ebwana at least ume-break it down a bit maana wengi tulipita wima!
   
 8. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Majimbo safi, Lowassa yeye akae kimya kwani damu za ndugu zetu mikononi mwa machungu dhidi ya ufisadi haijakauka.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Majimbo safi walau italeta maendeleo siyo vi mikoa vya sasa vipo kisiasa zaidi!
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ahaa... kumbe mnamuelewa mtoa mada ana hoja yenye nguvu hapa...changieni
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Engineers dont write toooooooooooooooooooo much
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  kila kinachofanyika arusha kina hatufu ya mkono wake
  1. kutaka kutuchagulia mbunge, mama yetu wa kambo
  2. kudhibiti uchaguzi wa meya na kupigisha kura madiwani mamluki
  3. #$%%^^&**&*(O( ya watu wasio na hatia
   
Loading...