Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Mzee angeongea kidogo
Mkuu utakamatwaKumbe magufuli muoga namna hii duh,yani ilikuwa leo lowasa azungumze na vijana tuingie barabarani yaani pasingetosha,serikali ya awamu ya tano ya ajabu sana.
Mtaani unga ni 2000 kwa kilo,maharage ni 3000 kwa kilo harafu majitu yaliyoshindwa kazi yanapambana na upinzani badala ya kupambana na njaa.
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana na sielewi hii imeendaje!! Wengine wameshikiliwa karibu wiki nzima na tuhuma zile zile sijui inakuwaje!!Kumbe siku hizi huko Police Central ' mtuhumiwa ' anaweza kuachiwa hata usiku mnene hivyo? Kazi ipo!
Keyboard warrior!Kumbe magufuli muoga namna hii duh,yani ilikuwa leo lowasa azungumze na vijana tuingie barabarani yaani pasingetosha,serikali ya awamu ya tano ya ajabu sana.
Mtaani unga ni 2000 kwa kilo,maharage ni 3000 kwa kilo harafu majitu yaliyoshindwa kazi yanapambana na upinzani badala ya kupambana na njaa.
Kumbe siku hizi huko Police Central ' mtuhumiwa ' anaweza kuachiwa hata usiku mnene hivyo? Kazi ipo!
Hivi huyo Lowasa angelifanaya nini mbele ya vyombo vya Dola?TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
wew mchocheziHa ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
Naona Polisi walivyosikia tu kuwa Lowassa anakuja wakaamua wamwachie fasta Mbowe daaaah....TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
Nadhani Lowassa alitaka achimbe biti serikali na ndo maana Polisi wakaamua faasta wamwachie huru Mbowe, hapo polisi wamecheza kama Pele safi sanaHa ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
Hakuna duka linauza Hekima na Busara ili kuendeleza taifa hili na kizazi chake, labda shuleni tu ingawa nazo ndiyo hivyo tena Kayumba mtindo mmoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Baba Magu nyoosha koko hzo
Kumfananisha mbunge na mwenyekiti wa chama alichotoka mbunge huyo ni *puuz* wa kiwango cha chuo kikuu..Ha ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
Narudia tena...vita hii dhidi ya madawa ya kulevya, japo ni ngumu duniani kote, lakini hapa kwetu imefanywa kuwa ngumu zaidi baada ya kuonekana dhahiri kuwa inafanywa kwa malengo tofauti kabisa na makusudio yake....ni siasa, visasi, udhalilishaji, kuviziana, kukomoana, kutiana misukosuko, kutunishiana misuli, nk. Na yote hayo yanadhihirika hata hapa JF.Anataka kuwepo kwenye S01E04
Kwenye ukweli sema ukisema wakaskazini lema ni mnini??Ha ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
Kamfundishe wewe.Hivi amejifunza Kuongea siku hizi?