Edward Lowassa aahirisha mkutano na wanahabari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia

Kumbe siku hizi huko Police Central ' mtuhumiwa ' anaweza kuachiwa hata usiku mnene hivyo? Kazi ipo!
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia

Ha ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
 
Kumbe magufuli muoga namna hii duh,yani ilikuwa leo lowasa azungumze na vijana tuingie barabarani yaani pasingetosha,serikali ya awamu ya tano ya ajabu sana.
Mtaani unga ni 2000 kwa kilo,maharage ni 3000 kwa kilo harafu majitu yaliyoshindwa kazi yanapambana na upinzani badala ya kupambana na njaa.
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia
hivi ni mstaafu au alijuzuru mbona mnapotosha cv za watu..
 
Back
Top Bottom