Edward Lowassa aahirisha mkutano na wanahabari

Edward Lowassa aahirisha mkutano na wanahabari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia

Kumbe siku hizi huko Police Central ' mtuhumiwa ' anaweza kuachiwa hata usiku mnene hivyo? Kazi ipo!
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia

Ha ha ha MKUTANO HEWA UMEAHIRISHWA!!! Haya tumekusikia.Kudakwa MBOWE mkutano hewa unaitishwa na tamko hewa la kuahirisha mkutano hewa linatolewa.Akina LIJUAKALI wako jela LOWASA hajaitisha press conference.Watu wa kaskazini mna upendeleo wa waziwazi
 
kwa hiyo mkutano umehairishwa baada ya mbowe kuachiwa? haa haa upinzani na lowasa mjiangalie sana hamuaminiki...
 
Kumbe magufuli muoga namna hii duh,yani ilikuwa leo lowasa azungumze na vijana tuingie barabarani yaani pasingetosha,serikali ya awamu ya tano ya ajabu sana.
Mtaani unga ni 2000 kwa kilo,maharage ni 3000 kwa kilo harafu majitu yaliyoshindwa kazi yanapambana na upinzani badala ya kupambana na njaa.
 
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.

Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.

Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.

...
Taarifa zaidi zitakujia
hivi ni mstaafu au alijuzuru mbona mnapotosha cv za watu..
 
Hivi amejifunza Kuongea siku hizi?
Lowasa anajua kuongea labda magufuli ndiye ajifunze kuongea kwani tunajua anaongea kama mtoto anayejifunza kuongea kawaida yake anaweza kuongea neno lolote hata matusi mbele ya wazazi kwa kuwa hajui nini maana yake.
 
Back
Top Bottom