OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,245
- 103,948
Upo right jirani, ndo maana nikasema nje ya CCM hana madhara, kama ambavyo CDM imedhiirisha. ili kummaliza zaidi akalibie Arusha kama rufaa ya Lema itatupwaJirani, binafsi naamini Lowassa ndio tumaini pekee la CCM 2015.
Ndani ya magamba hakuna kama EL. CDM ndio imemmaliza kwa umma.
Upo right jirani, ndo maana nikasema nje ya CCM hana madhara, kama ambavyo CDM imedhiirisha. ili kummaliza zaidi akalibie Arusha kama rufaa ya Lema itatupwa
Mkuu OKW, kwa hili naomba nitofautiane nawe. Mtanzania mingi kwa umasikini uliopaliliwa na Magamba kwa miaka 50 imeamishwa na ccm kuwa uchaguzi ni ajira nzuri ili kupata cape, pombe, khanga, vitenge, Tshirt na kwa sasa viatu vya kichina. Si ajabu sasa hivi sasa EL kwa kuzingatia udhaifu huu wa Mi-Tz ameagiza wachina kutengeneza kwa wingi ili aibuke Rais wa Tz.
Naskia CDM inaomba dua usiku na mchana ili ccm imteue EL awe mgombea wake wa Urais 2015!
Lowassa, ni janga la taifa, ni mnafiki sana huyu fisadi mkubwa. Kuna wazee wasiojiweza wanalia na kuomba msaada kila siku, na wako kwenye kambi maalum, hao hawaoni, wala kusikia kilio chao. Ila makanisani asikoalikwa ndiko hupeleka mapesa yake yaliyotokana na ufisadi wake ili awahonge waumini na maaskofu kwa matarajio ya kuupata urais 2015. Kama kuna ndugu zake wanampenda, wamweleze aachane na ndoto za urais, watanzania tuliowengi hatumtaki!
Yeye ndio amejimaliza mwenyewe kwa wizi wake. CHADEMA walichofanya ni kuufanyia publicity tu
Sasa tunaweza kusema wazi kwamba mzee wa ''vijana ni bomu'' hana madhara tena hasa nje ya CCM. Ni kama Simba aliyeng'olewa meno na kucha na kuwekwa katika mabanda ya sabasaba na kila mtu kuweza kumpapasa kadri ya ujasiri wake. Hali imekuwa mbaya zaidi huko Arumeru baada ya CHADEMA kumuonyesha kuwa nguvu ya pesa haiwezi kuwa zaidi ya Nguvu ya Umma, Hongera CHADEMA. CHADEMA ni wanaume wa nguvu, tofauti na Edward ambaye amewekeza zaidi kwenye siasa za KUVIZIANA makanisani na kwenye makundi ndani ya chama. Hapa nakumbuka alipotua toka Ujerumani na kauli yake kwamba ''mapambano yataendelea''. Je EL amekosa ujasiri kiasi cha kushindwa hata kuweka wazi ni aina gani ya mapambano anayofanya,je hii sio kuvisiana?
Kushindwa kukata kiu ya Watanzania juu ya ushiriki wa JK katika Richmond imezidi kumpunguzia heshima kisiasa. Ule mradi wa kununua vijana kumtembelea Monduli iliishia wapi? Jamii ya watu makini (mfano Arumeru) imemkataa, mbaya zaidi hata makanisani alipokimbilia tunasikia jumba bovu linataka kumwangukia.
Binafsi namshauri apiganie uimara wa afya yake na abaki kulea wajukuu. E.LOWASA hana madhara tena nje ya CCM.
Wanamtandao Karibuni tudhibitishe hilo
Mkuu umesahau Arumeru watu walivaa, walikula na kunywa halafu wakalala kwa CDM?
Kinachotakiwa kwa jamii iliyobaki hasa za kanda ya kati na pwani ni kueneza elimu ya demokrasia tu.
Mwishowe watavaa, watakula na kunywa, lakini mwiko kuuza haki yao kwa fadhila.
Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?
Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?
Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?