kazingo Zacharia kazingo
New Member
- Jul 12, 2019
- 1
- 0
Naombeni ushauri Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu kapata chemistry D, biology D, na Geography D , bam E na GS D. Je tofauti na case ya kusomea ualimu , je n kozi gani nzur ambayo anweza kusoma na chuo gani? Note, she is from poor family.