Wadau Habarini za asubuhi wana jumuiya ya EAC, katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na paper review kipindi cha TV kina rushwa na KTN (Kenya) sasa kuna gazeti limeripoti uwepo wa degree programs 133 ambazo ni useless na watahiniwa wake wana struggle ktk soko la ajira. Kiukweli hii changamoto sio kwa Kenya tu hata hapa TZ kuna hii shida ni kama vyuo vinatoa tu degree programs ambazo zinakwenda kuwapoteza wasomi na vyuo kutiapesa kipindoni.
Source