Educating website

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Wana jf nilikuwa na wazo la kufungua educating website ambayo itakuwa inatoa notes mbalimbali za masomo yafuatayo ambayo nitaanza nayo, pia notes hizi zitakuwa not downlodable za kusoma ukiwa net tu.
1.Biology
2.Kiswahili
3.Mathematics
4.Chemistry
Then masomo mengine yatafuatia.
Wanajf naombeni ushauri wenu kama jambo hili linafaaa.
 
Back
Top Bottom